MAPOKEZI YA SIMBA YALIVYONOGA 2003 WALIPOFUZU MAKUNDI AFRIKA
Gari la wazi lililobeba wachezaji wa Simba SC likiwa limezingira na umati wa mashabiki wa timu hiyo wakati wa mapokezi yake kikosi kiliporejea kutoka Cairo, Misri ambako waliitoa Zamalek na kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2003
0 comments:
Post a Comment