• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 23, 2016

  MOURINHO ANAVYOHAMIA MANCHESTER HIYO MIBOKSI UTADHANI...

  Maboksi ya kocha Mreno Jose Mourinho yakiondolewa mchana wa leo katika nyumba aliyokuwa anaishi London tayari kuhamishiwa Manchester, ambako anakwenda kusaini Mkataba wa kufundisha Manchester United baada ya kufukuzwa kwa Mholanzi, louis Van Gaal  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO ANAVYOHAMIA MANCHESTER HIYO MIBOKSI UTADHANI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top