• HABARI MPYA

  Monday, May 30, 2016

  SPAHIC ALIMWA NYEKUNDU BAADA YA KUMPIGA FABREGAS HISPANIA IKIILAZA BOSNIA 3-1

  Beki wa Bosnia-Herzegovina, Emier Spahic akimpa mkono wa uso kiungo wa Hispania Cesc Fabregas wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu hizo usiku wa Jumapili nchini Uswisi. Spahic alitolewa kwa kadi nyekundu Hispania ikiilaza Bosni 3-1. Mabao ya Hispania yamefungwa na Nolito mawili na lingine Pedro wakati la Bosnia limefungwa na Spahic PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPAHIC ALIMWA NYEKUNDU BAADA YA KUMPIGA FABREGAS HISPANIA IKIILAZA BOSNIA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top