CHEKA KUZIPIGA AUSTRALIA JULAI 1, NDABILA AMPELEKA KAMBINI UINGEREZA
Bondia wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka (kushoto) akisaini Mkataba na promota Juma Ndabila (kulia) kwa ajili ya pambano dhidi ya Zac Dunn mjini Melbourne nchini Australia Julai 1, mwaka huu. Cheka anatarajiwa kwenda kambi Uingereza kwa ajili ya pambano hilo mapema mwezi ujao
0 comments:
Post a Comment