• HABARI MPYA

  Monday, May 30, 2016

  TAIFA STARS NA HARAMBEE KATIKA PICHA JANA KASARANI

  Mshambauliaji wa Tanzania, Elias Maguli (kulia) akiwania mpira dhidi ya beki wa Kenya, David Owino (kushoto) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Kasarani, Nairobi, Kenya. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1
  Kiungo wa Tanzania, Shizza Kichuya akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Kenya, Joackins Atudo jana
  Kikosi cha Tanzania kilichoanza jana dhidi ya wenyeji, Kenya Uwanja wa Kasarani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA HARAMBEE KATIKA PICHA JANA KASARANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top