• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 26, 2016

  HII NDIYO UKISIKIA 'BEKI ANAKABA' KAMA AGGREY NA MSUVA JANA

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris akimdhibiti winga wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1
  Msuva akienda chini baada ya kuzidiwa nguvu na Aggrey
  Aggrey anajizuia kumuangukia Msuva baada ya kufanikiwa kumsimamisha
  Aggrey anaangukia upande wake pili kukwepa kumuangukia Msuva
  Ilianzia hivi; Aggrey alimkimbilia kwa kasi Msuva ili aupitie mpira miguuni mwake  Lakini Msuva akafanikiwa kuudokoa mpira ukatangulia naye akamruka Aggrey, ndipo beki wa Azam akatumkia maarifa ya ziada kumzuia winga wa Yanga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HII NDIYO UKISIKIA 'BEKI ANAKABA' KAMA AGGREY NA MSUVA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top