• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 25, 2016

  SERENGETI BOYS WAIPA 3-0 MALAYSIA NA KUSHINDA NAFASI YA TATU INDIA

  Wachezaji wa Tanzania wakishangilia baada ya kukabidhiwa zawadi za ushindi wa tatu wa michuano ya Vijana chini ya umri wa miaka 16 nchini India maarufu kama AIFF Youth Cup kufuatia kuifunga Malaysia mabao 3-0 mchana wa leo mjini Goa. Mabao ya Serengeti yamefungwa na Rashid Abdallah dakika ya 13, Shaaban Zuberi dakika ya 41 na Mushin Malima dakika ya 45 na ushei


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WAIPA 3-0 MALAYSIA NA KUSHINDA NAFASI YA TATU INDIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top