• HABARI MPYA

  Monday, May 23, 2016

  BAYERN MUNICH YAMSAJILI MATS HUMMELS MIAKA MITANO

  Beki wa kati, Mats Hummels (kushoto) akikabidhiwa jezi ya ya Bayern Munich na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Karl-Heinz Rummeniggeshirt (kulia) leo baada ya kujiunga nayo kwa Mkataba wa miaka mitano akitokea kwa wapinzani wa Bundesliga, Borussia Dortmund  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAMSAJILI MATS HUMMELS MIAKA MITANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top