Kocha Pep Guardiola akijifuta machozi baada ya timu yake kushinda Kombe la Ujerumani kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Berlin, Ujerumani. Guardiola anaondoka Bayern Munich anahamia Manchester City ya England baada ya kumaliza msimu jana na mchezo huo ulikuwa wa mwisho kwake kuiongoza timu hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment