• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 29, 2016

  DK GILBERT ANAVYOPAMBANA BOCCO ACHEZE DHIDI YA HARAMBEE LEO

  Daktari wa timu ya taifa ya Tanzania, Gilbert Kigadye (kushoto) akimsimamia Nahodha wa Taifa Stars, John Bocco katika mazoezi mepesi Jumamosi Uwanja wa Kasarani, Nairobi, Kenya siku moja kabla ya kucheza na wenyeji, harambee Stars leo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa
  Bocco amefika Nairobi akiwa majeruhi na Dk Kigadye anapambana kumuwezesha kucheza leo dhidi ya Kenya
  Wachezaji wengine wa Taifa Stars waliopo Nairobi walifanya mazoezi kikamilifu jana tayari kwa mechi na Harambee Stars

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DK GILBERT ANAVYOPAMBANA BOCCO ACHEZE DHIDI YA HARAMBEE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top