• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 28, 2016

  TORRES NA ATLETICO MADRID WALIVYO TAYARI KWA SHUGHULI YA LEO

  Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres akipiga kichwa jana mjini Milan katika mazoezi ya mwisho kabla ya kumenyana na mahasimu wao, Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo Uwanja wa San Siro, Milan, Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TORRES NA ATLETICO MADRID WALIVYO TAYARI KWA SHUGHULI YA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top