• HABARI MPYA

  Tuesday, May 31, 2016

  'NEW KAITABA STADIUM', KAGERA SUGAR WAREJEA KWENYE MACHINJIO YAO

  Mwonekano wa Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba baada ya ukarabati uliosababisha usitumike msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, hadi wenyeji Kagera Sugar wakahamia Uwanja wa Kambarage, Shinyanga
  Uwanja umewekwa nyasi nzuri bandia zenye ubora wa hali ya juu na sasa uko tayari kutumika kuanzia msimu ujao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'NEW KAITABA STADIUM', KAGERA SUGAR WAREJEA KWENYE MACHINJIO YAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top