• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 29, 2016

  CARRASCO ALIKWENDA KUMPIGA 'MIDENDA' MISS UBELGIJI BAADA YA KUISAWAZISHIA ATLETICO JANA

  Kiungo Yannick Carrasco akimpiga busu mpenzi wake, mwanamitindo na Miss Ubelgiji, Noemie Happart baada ya kuifungia bao la kusawazisha Atletico Madrid katika sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 dhidi ya mahasimu, Real Madrid kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa San Siro. Hata hivyo, Atletico walifungwa kwa penalti 5-3 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CARRASCO ALIKWENDA KUMPIGA 'MIDENDA' MISS UBELGIJI BAADA YA KUISAWAZISHIA ATLETICO JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top