Michal Duris akishangilia baada ya kuifungia Slovakia bao la pili kwa kichwa akimalizia krosi ya Vladimir Weiss katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Ujerumani Jumapili Uwanja wa WWK Arena mjini Augsburg. Mabao mengine ya Slovakia yamefungwa na Marek Hamsik na Juraj Kucka, wakati la wenyeji limefungwa na Mario Gomez kwa penalti katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment