• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 31, 2016

  HIVI NDIVYO MOURINHO ALIVYOANZA USAJILI WAKE MAN UNITED

  Kinda Cameron Borthwick-Jackson akisaini Mkataba wa miaka minne kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2020 kufuatia mwanzo mzuri msimu huu baada ya kupandishwa kutoka timu ya vijana. Makinda wengine waliosainishwa ni pamoja na Marcus Rashford hadi mwaka 2020 pia, wakilipwa Pauni 25,000 kwa wiki kutoka Pauni 1,500 kwa wiki na wote wanasaini siku mbili baada ya Mreno, Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO MOURINHO ALIVYOANZA USAJILI WAKE MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top