• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 22, 2016

  MELISA ASHINDA AIRTEL TRACE MUSIC STARS TANZANIA 2016

  Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Tanzania 2016, Melisa John, akiimba mara baada ya kutangazwa mshindi katika fainali za shindano la Airtel Trace Music Stars  zilizofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere, Dar es salaam. Melisa amejishindia shilingi milioni 50 pamoja na kupata tiketi ya kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya Airtel Trace Music Stars Afrika. Mshindi wa pili wa mashindano hayo ni  Nandi Charles na wa tatu ni Salim Mlindila
  Melisa akizungumza mara baada ya kutangazwa mshindi na  kukabithiwa mfano wa hundi ya shilingi miliioni 50. Kulia ni mama yake Melisa John,na kushoto nao MC wa fainali hizo
  Mshindi wa tatu wa shindano la Airtel Trace Music Stars Tanzania, Salim Mlindila akitumbuiza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MELISA ASHINDA AIRTEL TRACE MUSIC STARS TANZANIA 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top