• HABARI MPYA

  Tuesday, May 24, 2016

  SEVILLA WAJISAHAULISHA KIPIGO CHA BARCA NA KUJIACHIA NA MWALI WAO WA EUROPA LEAGUE

  Wachezaji wa Sevilla wakitembeza Kombe lao la Europa League kuwaonyesha mashabiki wao jana baada ya kutwaa taji hilo wakiifunga Liverpool 3-1 katika fainali wiki iliyopita. Maandamano hayo yalikuja siku moja baada ya kufungwa 2-1 na Barcelona katika fainali ya Kombe la Mfalme ndani ya dakika 120 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SEVILLA WAJISAHAULISHA KIPIGO CHA BARCA NA KUJIACHIA NA MWALI WAO WA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top