• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 31, 2016

  Michuano Ya Copa Amerika yaanza kunukia


  Copa Amerika Ilianza mwaka 1916 ndio michuano mikongwe zaidi ya mabara duniani. Michuano hii inajitosheleza na imekua ikizaa matunda kwa timu za taifa za ukanda huu, kwa mfano Uruguay walikua vizuri sana katika kombe la dunia la 2010 Afrika Kusini wakati Colombia wakitesa katika fainali zilizopita. Timu hizi kutoka ukanda huu ni nadra sana kutolewa hatua za awali za michuano ya kombe la dunia.

  Kuna makundi manne (4) ambayo yatashiriki katika michuano hii. Kundi A litakuwa na timu nne nazo ni, USA, COLOMBIA, PARAGUAY NA COSTA RICA. Kundi B nalo litakua na timu ya BRAZIL, PERU, HAITI na EQUIDOR, Kundi C watakuwepo MEXICO, URUGUAY, JAMAICA na VENEZUELA na kundi la mwisho watakuepo ARGENTINA, CHILE, PANAMA na BOLIVIA.
  Kwa Tanzania Michuano hii itarushwa na StarTimes pekee kupitia channel zao za michezo kuanzia tarehe 04 June 2016.

  #CopaAmericaOnStarTimes #Exclusive
  Download app ya StarTimes kujishindia zawadi 
  www.startimes.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: Michuano Ya Copa Amerika yaanza kunukia Rating: 5 Reviewed By: MK
  Scroll to Top