• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 31, 2016

  PAYET AFUNGA DAKIKA YA MWISHO UFARANSA YAILAZA CAMEROON 3-2 KIRAFIKI

  Kipa wa Cameroon, Fabrice Ondoa akiruka bila mafanikio kuokoa mchomo wa Dimitri Payet wa Ufaransa katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Nantes, Ufaransa. Ufaransa ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Matuidi dakika ya 20, Giroud dakika ya 41 na Payet dakika ya 90, wakati ya Cameroon yalifungwa na Aboubakar dakika ya 22 na Choupo-Moting dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PAYET AFUNGA DAKIKA YA MWISHO UFARANSA YAILAZA CAMEROON 3-2 KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top