• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 25, 2016

  AZAM TV 'WAWAFUNDISHA SOKA' MAOFISA WA TFF

  Mshambuliaji wa Azam TV, Abdulkarim Amin 'Popat' akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam TV imeshinda 1-0
  Kiungo wa TFF, Wilfred Kidau akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam TV, Ally Mayay
  Ally Mayay akimfunga 'behewa' Wilfred Kidau mchana wa leo Uwanja wa Taifa
  Kiungo wa Azam TV, Jeff Leah akisukumana na kiungo wa TFF, Ally Ruvu kuwania mpira
   Wachezaji wa Azam TV wakimponge Salum Hando (kushoto) baada ya kufunga bao pekee la ushindi leo
  Aliyekuwa mchezaji wa Azam TV, Twalib Omar (kushoto) leo aliibukia kwa Maofisa wa TFF

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM TV 'WAWAFUNDISHA SOKA' MAOFISA WA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top