• HABARI MPYA

  Ijumaa, Mei 27, 2016

  "MAMA ENDELEA KUMPA TAMBWE MAMBO MAZURI AZIDI KUTUFUNGIA MABAO"

  Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Isaac Chanji (kushoto) akimpongeza mshambuliaji wa timu yake, Mrundi Amissi Tambwe mbele ya mkewe kulia juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya fainali ya kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) wakishinda 3-1 dhidi ya Azam FC
  Tambwe alijumuika na mkewe na mashemeji zake baada ya fainali ambayo alifunga mabao mawili Jumatano
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: "MAMA ENDELEA KUMPA TAMBWE MAMBO MAZURI AZIDI KUTUFUNGIA MABAO" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top