• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 23, 2016

  JKT RUVU ILIPOTUMIA MABEGA YA SIMBA KUJINUSURU KUPOROMOKA LIGI KUU

  Kiungo wa JKT Ruvu, Madenge Ramadhani akimtoka kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. JKT Ruvu ilishinda 2-1 na kuepuka kushuka daraja, ikiziacha timu za Tanga tupu, Coastal Union, African Sports na Mgambo JKT zikiipa mkono wa kwaheri ligi hiyo
  Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Saad Kipanga akitafutaa maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Simba jana
  Nahodha wa Simba, Mussa Mgosi (kulia) akigombania mpira dhidi ya wachezaji wa JKT Ruvu
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akivuta kasi kupiga krosi pembeni ya wachezaji wa JKT Ruvu
  Madenge Ramadhani wa JKT Ruvu, akimgeuza Mwinyi Kazimoto wa Simba
  Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia bao la pili jana Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JKT RUVU ILIPOTUMIA MABEGA YA SIMBA KUJINUSURU KUPOROMOKA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top