Kipa wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya England, Leicester City, Kasper Schmeichel akirukia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Chelsea, Pedro katika mchezo wa ligi hiyo jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Cesc Fabregas alianza kuwafungia wenyeji kwa penalti dakika ya 66 baada ya Nemanja Matic kuchezewa rafu kwenye boksi, kabla ya kiungo Danny Drinkwater kuisawazishia Leicester zikiwa zimebaki dakika nane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Should Ghana have been awarded a penalty against England?
-
England fans have been left frustrated by the goalless draw against Ghana,
but were Thomas Tuchel's side fortunate not to have given away a penalty?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment