Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania Mbwana Samatta akiruka kupiga kichwa katikati ya mabeki wa Oostende kuifungia bao la kwanza timu yake katika ushindi wa 4-1 Jumapili kwenye Ligi Kuu ya Ubelgiji Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk
Samatta akitia krosi mbele ya beki wa Oostende katika mchezo huo
Samatta akiulinda mpira mbele ya beki wa Oostende Jumapili usiku
Samatta akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Oostende katika mchezo huo
Samatta akishangilia na Mjamaica, Leon Bailey ambaye alimpa pasi ya kufunga bao
Samatta akiwaongoza wenzake kutoka uwanjani kuanza mchezo
Samatta akiwa na wenzake kabla ya mchezo Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk

Samatta mbele ya beki wa Oostende katika mchezo huo ambao alicheza kwa dakika 74 |
Samatta akiulinda mpira mbele ya beki wa Oostende Jumapili usiku
Samatta akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Oostende katika mchezo huo
Samatta akishangilia na Mjamaica, Leon Bailey ambaye alimpa pasi ya kufunga bao
Samatta akiwaongoza wenzake kutoka uwanjani kuanza mchezo
Samatta akiwa na wenzake kabla ya mchezo Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk
Samatta akishangilia na Mjamaica, Leon Bailey ambaye alimpa pasi ya kufunga bao
0 comments:
Post a Comment