• HABARI MPYA

    Thursday, October 01, 2015

    SIMBA SC NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

    Beki wa Simba SC, Hassan Kessy akipasua katikati ya wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba SC ilishinda 1-0.
    Beki wa Stand United, Rajab Zahir (kulia) akimdhibiti, kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi
    Kiungo wa Simba SC, Justice Majabvi (kushoto) akitafuta maarifa ya kumuacha kiungo wa Stand United
    Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Stand United, Abuu Ubwa
    Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla (kulia) akimtoka kiungo wa Stand United, Suleiman Kassim 'Selembe'
    Kiungo wa Stand United, Hassan Dilunga akiwatoka wachezaji wa Simba SC, Boniface Maganga na Justice Majabvi
    Mshambuliaji wa Simba SC, Boniface Maganga (katikati) akipasua katikati ya wachezaji wa Stand United
    Mfungaji wa bao pekee la Simba SC, Joseph Kimwaga (kulia) akimtoka beki wa Stand United, Rajab Zahir

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top