Bondia Gary Cornish akienda chini baada ya kupigwa ngumi ya nguvu na Anthony Joshua katika pambano la ubingwa wa Jumuiya ya Madola usiku wa kuamkia leo nchini UIngereza. Joshua alishinda kwa Knockout (KO) sekunde ya 90, hilo likiwa pambano lake la 13 mfululizo bingwa huyo wa zamani wa Olimpiki ndondi za Ridhaa kushinda tangu aanze ndondi za kulipwa. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
What do Scotland need to make World Cup knockouts?
-
After their 3-0 defeat by Brazil, BBC Sport looks at what Scotland require
to reach the knockout phase.
33 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment