• HABARI MPYA

    Tuesday, April 07, 2015

    AZAM NA YANGA KUFUKUZANA TENA LIGI KUU KESHO DAR

    LIGI kuu ya Vodacom Tanzania Baraa inatarajiwa kuendelea kesho jumatano katika viwanja viwili jijini Dar es salaam, kwa vinara wa ligi hiyo Young Africans kuwakaribisha Coastal Union kwenye dimba la Uwanja wa Taifa.
    Uwanja wa Chamazi Complex, wenyeji timu ya Azam FC wanaokamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, watawakaribsiha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya timu ya Mbeya City FC.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM NA YANGA KUFUKUZANA TENA LIGI KUU KESHO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top