• HABARI MPYA

  Monday, December 08, 2014

  UZI MPYA WA NDANDA FC, ASANTE VEE RUBBER YA BIN SLUM

  Jezi mpya za klabu ya Ndanda FC ya Mtwara, ambazo wataanza kuzitumia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baadaye mwezi huu. Ndanda inadhaminiwa na kampuni ya Bin Slum Tyres Limited kupitia matairi ya Vee Rubber.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UZI MPYA WA NDANDA FC, ASANTE VEE RUBBER YA BIN SLUM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top