• HABARI MPYA

  Tuesday, December 09, 2014

  VAN PERSIE APIGA ZOTE MBILI MAN UNITED IKIITULIZA 2-1 SOUTHAMPTON

  MANCHESTER United imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi tano mfululizo za Ligi Kuu ya England baada ya usiku huu kuifunga mabao 2-1 Southampton.
  United iliyokuwa ugenini, ilipata mabao yake yote kupitia kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Uholanzi, Robin van Persie.
  Bao la kwanza, van Persie alitumia makosa ya Jose Fonte dakika ya 12 kabla ya Graziano Pelle kuisawazishia Southampton dakika ya 31.
  Van Persie akaifungia bao la ushindi United dakika ya 71 akiunganisha mpira wa adhabu wa Wayne Rooney na huo unakuwa ushindi wa tano mfululizo kwa Mashetani hao Wekundu katika Ligi Kuu ya England, wakati Watakatifu wamepoteza mechi zao tatu zilizopita.
  Van Persie gave United an early first half lead after capitalising on Southampton captain Jose Fonte's mistake
  Van Persie gave United an early first half lead after capitalising on Southampton captain Jose Fonte's mistake
  Van Persie (top) read and intercepted Fonte's attempted pass to Forster (bottom) before nutmegging the Southampton goalkeeper
  Van Persie (top) read and intercepted Fonte's attempted pass to Forster (bottom) before nutmegging the Southampton goalkeeper

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2866102/Southampton-1-2-Manchester-United-Robin-van-Persie-scores-twice-Louis-van-Gaal-s-Premier-League.html#ixzz3LLcwOWsn 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VAN PERSIE APIGA ZOTE MBILI MAN UNITED IKIITULIZA 2-1 SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top