• HABARI MPYA

  Friday, December 05, 2014

  STURRIDGE ANAVYOPAMBANA KUWA FITI TENA ARUDI MZIGONI LIVERPOOL

  MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge ametumia akaunti yake ya Instagram kuthibitisha namna anavyojifua ili kuwa fiti tena.
  Mpachika mabao huyo wa Liverpool anafanya mazoezi mjini Los Angeles, Marrkani ili kupona maumivu yake ya mguu aweze kurejea uwanjani akiwa fiti zaidi.
  Mwanasoka huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 25 amepelekwa Marekani ili kwenda kuendelea kupambana na maumivu yake ambayo yamemuweka nje kwa muda mrefu msimu huu. Sturridge ameposti picha zake akiwa anajifua kwenye gym.
  Daniel Sturridge took to Instagram to tell fans he will be back 'stronger and better than ever'
  Daniel Sturridge ameposti picha Instagram kuwaambia mashabiki kwamba atarejea akiwa fiti zaidi
  The Liverpool striker posted pictures of himself in the gym going through various drills including kettle bell lifts (right) and balancing on a vibrating Power Plate 
  Picha tofauti ambazo nyota huyo wa Liverpool ameposti akiwa gym anajifua
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STURRIDGE ANAVYOPAMBANA KUWA FITI TENA ARUDI MZIGONI LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top