• HABARI MPYA

  Sunday, December 14, 2014

  SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA MTANI JEMBE

  Mshambuliaji wa Yanga SCm Kpah SHerman akimtoka beki wa Simba SC, Juuko Murushid katika mchezo wa Nani Mtani Jembe jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.
  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi kulia akimtoka beki wa Yanga SC, Juma Abdul 
  Kpah Sherman akipasua katikati ya Awadh Juma kulshoto na Ramadhan Singano 'Messi' kulia 
  Kpah Sherman akipasua katikati ya Hassan Isihaka kulia na Singano kushoto
  Kiungo wa Yanga SC, Emerson de Oliviera Roque katikati akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa Simba Ramadhani Singano 'Messi'
  Wachezaji wa Simba na Yanga walisukumana mwanzoni tu mwa mchezo baada ya Emmanuel Okwi kuanguka
  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akipambana na beki wa Simba SC, Juuko Murshid
  Viungo Awadh Juma wa Simba SC kulia na Emerson Roque wa Yanga SC wakichuana kuwania mpira wa juu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA MTANI JEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top