• HABARI MPYA

  Sunday, December 07, 2014

  CM PUNK ASAINI UFC

  MCHEZA mieleka wa kulipwa, CM Punk amesaini Mkataba wa kujiunga na UFC.
  Tangazo hilo alilitoa jana usiku katika UFC 181 wakati Robbie Lawler akimpiga Johny Hendricks kwenye pambano lao la marudiano uzito wa Welter.
  CM Punk, ambaye jina lake halisi ni Phil Brooks, hajawahi kupigana kwenye sanaa ya mapigano mchanganyiko na amesema wakati haupo upande wake.
  Professional wrestler CM Punk, whose real name is Phil Brooks (left), has signed a deal with UFC
  Mchezaji mieleka wa kulipwa, CM Punk, ambaye jina lake halisi ni Phil Brooks (kushoto), amesaini UFC CM Punk takes down Mark Henry during their previous  match at the WWE Monday Night Raw Supershow
  CM Punk akimpeleka chini Mark Henry katika mechi yao ya awali ya WWE Jumatatu usiku ukumbi wa Night Raw Supershow
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CM PUNK ASAINI UFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top