• HABARI MPYA

  Friday, December 05, 2014

  AZAM FC WAIFUNGA 1-0 ACADEMY KWA MBINDE

  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akipambana na mchezaji wa Azam Academy, Rashid Said katika mchezo wa kirafiki baina ya timu jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0, bao pekee la Salum Abubakar 'Sure Boy' dakika ya 47.
  Mshambuliaji mpya wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Senale Bamba akimtoka Omar Wayne wa Azam Academy
  Kipre Balou wa Azam FC akimiliki mpira mbele ya Masoud Abdallah wa Academy
  Didier Kavumbangu wa Azam FC akimtoka Yohana Nkomola wa Academy
  Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Academy
  Amri Kiemba akiwatoka wachezaji wa Academy

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WAIFUNGA 1-0 ACADEMY KWA MBINDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top