• HABARI MPYA

  Wednesday, December 10, 2014

  AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA USIKU WA JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, KIpre Tchetche akimiliki mpira pembeni ya beki wa Mtibwa Sugar Majaliwa Shaaban katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-1
  Kiungo wa Azam FC, Farid Mussa kulia akimtoka mchezaji wa Mtibwa Sugar, Ally Shomary
  Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe akktafuta mbinu za kumtoka beki wa Mtibwa, Patrick Athanas
  Mshambuliaji wa Mtibwa, Himid Mao akiwania mpira wa juu dhidi ya Himid Mao wa Azam
  Kiungo wa Mtibwa Sugar, Jamal Mnyate akimtoka kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya
  Beki wa Mtibwa Sugar, Majaliwa Shaaban akiwa amepiga mpira kichwa kujaribu kufunga, lakini bekki wa Azam FC, Aggrey Morris akaokoa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA USIKU WA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top