MAXIMO ANAVYOIANDAA YANGA SC KWA AJILI YA KOMBE LA KAGAME
Kocha wa Yanga SC, Mbrazil Marcio Maximo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar es Salaam. Yanga SC ipo katika maandalizi ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame michuano inayotarajiwa Agosti 9, mjini Kigali, Rwanda.
0 comments:
Post a Comment