• HABARI MPYA

    Saturday, August 02, 2014

    MAKOCHA WA BARCA JANA KATIKA PATI LA CHAKULA CHA USIKU

      Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Buttallah akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza. 
     Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo akimkabidhi zawadi kocha Isaac Guerrero kutoka FC Barcelona wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza. 
     Makocha Isaac Guerrero (kushoto) na Dani Bigas (kulia) kutoka FC Barcelona wakimkabidhi zawadi ya jezi balozi wa Hispania nchini Luis Cuesta (katikati) wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza.
     Makocha Isaac Guerrero (kushoto) na Dani Bigas (kulia) kutoka FC Barcelona wakimkabidhi zawadi ya jezi Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (katikati) wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza.
    Makocha Isaac Guerrero (kushoto) na Dani Bigas (kulia) kutoka FC Barcelona wakimkabidhi zawadi ya jezi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Castle Lager kwa ajili ya makocha wa FC Barcelona na wadau wa soka nchini. Makocha hao wapo nchini kutoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKOCHA WA BARCA JANA KATIKA PATI LA CHAKULA CHA USIKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top