• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 24, 2014

  SIMBA SC NA JKT RUVU...NA AZAM NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA NA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. JKT Ruvu ilishinda 3-2.
  Mshambuliaji wa Azam FC, Brian Umony akipasua katikati ya wachezaji wa Prisons ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 2-2.
  Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni kulia akimtoka beki wa Prisons ya Mbeya kushoto jana
  Kiungo wa Azam FC kulia,Kipre Michael Balou kulia akiondoka na mpira dhidi ya kiungo wa Prisons,Omega Seme anayecheza kwa mkopo kutoka Yanga SC
  Mpira uko wapi? Wachezaji wa Azam John Bocco kushoto na Brian Umony kulia wakigombea mpira dhidi ya mchezaji wa Prisons jana
  Beki wa JKT Ruvu akimdondokea Amisi Tambwe wa Simba jana
  Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia ushindi wao dhidi ya Simba jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA JKT RUVU...NA AZAM NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA NA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top