• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 23, 2014

  LIVERPOOL YAENDELEA KUNG'ARA ENGLAND

  MABAO mawili ya Jordan Henderson na mawili ya Daniel Sturridge yameipa Liverpool ushindi wa 4-3 dhidi ya Swansea katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield.
  Kikosi cha Brendan Rodgers kimeendelea kuwanyatia vinara wa ligi, Chelsea sasa wakizidiwa kwa pointi nne tu.
  Mabao ya Swansea yalifungwa na Jonjo Shelvey moja na mawili Wilfried Bony. Liverpool inatimiza pointi 56 baada ya kucheza mechi 27, ikiendelea kutulia nafasi ya nne, nyuma ya Manchester City pointi 57 mechi mechi 26, Arsenal pointi  59 mechi 27 na Chelsea pointi 60 mechi 27.
  Henderson akipongezwa na Glen Johnson baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi
  Game over: Liverpool midfielder Jordan Henderson pokes home from close-range to put his side 4-3 ahead
  Bao la ushindi: Kiungo wa Liverpool, Jordan Henderson alifunga bao la nne kwa Liverpool ikishinda 4-3Through on goal: Sturridge rounds Swansea keeper Michel Vorm to open the scoring
  Sturridge akimzunguka kipa wa Swansea, Michel Vorm kabla ya kufunga leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEA KUNG'ARA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top