• HABARI MPYA

  Tuesday, February 18, 2014

  RAIS MALINZI AENDA KUJITAMBUSHA CAF

  Jamal Malinzi kulia alimrithi Leodegar Tenga kushoto Desemba mwaka jana TFF
  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameondoka leo (Februari 17 mwaka huu) kwenye Cairo, Misri kujitambulisha kwa uongozi wa juu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
  Akiwa Cairo, Rais Malinzi ambaye alichaguliwa Oktoba 28 mwaka jana atakutana na Rais wa CAF, Issa Hayatou pamoja na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Hicham El Amrani.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MALINZI AENDA KUJITAMBUSHA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top