• HABARI MPYA

  Monday, February 24, 2014

  KOCHA WA PRISONS DAVID MWAMWAJA JANA CHUPUCHUPU SURUALI IMVUKE CHAMAZI

  Mkanda tayari umefunguka, yaani ile pini inayoshikilia mkanda nayo ingechomoka na bahati mbaya suruali ikawa saizi kubwa kidogo, tabiri hali ingekuwaje? Hapa ni baada ya Azam kutoka nyuma kwa bao 1-0na kuongoza mabao 2-1 dhidi ya Prisons ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ndipo kocha David Mwamwaja 'alipochganganyikiwa' na kuanza kufundisha wachezaji wake hadi Kinyakyusa hatimaye wakafanikiwa kusawazisha bao na kupata sare ya 2-2.
  Aliongea hadi kilugha jana...
  Mwamwaja ameifanya Prisons imekuwa tishio mzunguko wa pili

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA WA PRISONS DAVID MWAMWAJA JANA CHUPUCHUPU SURUALI IMVUKE CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top