• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 25, 2014

  OZIL AHOJIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMGONGA MTU BARABARANI

  NYOTA wa Arsenal aliye kwenye misukosuko kwa sasa, Mesut Ozil alihojiwa na Polisi kwa tuhuma za gari alilokuwa anaendesha kumgonga mpiga picha. 
  Mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 42.5 alirejea nyumbani Ujerumani usiku wa Jumatatu baada ya kupewa siku mbili za mapumziko ndani na nje ya Uwanja – alipumzishwa kwenye kikosi cha Jumamosi kufuatia kuichezea timu hiyo ikifungwa na Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa.
  Anaendesha: Ozil anahutuhumiwakumgonga mpiga picha Ijumaa usiku
  Claim: Mesut Ozil was quizzed by police after he was involved in a collision with a photographer on Friday
  Madai: Mesut Ozil alihojiwa na Polisi kwa tuhuma za kumgonga mpiga picha Ijumaa
  In the stands: Ozil was omitted from Arsenal's matchday squad for their win over Sunderland on Saturday
  Jukwaani: Ozil aliondolewa kabisa kwenye kikosi cha Arsenal kilichomenyana na Sunderland Jumamosi na kushinda
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OZIL AHOJIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMGONGA MTU BARABARANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top