• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 21, 2014

  MOURINHO ATAKA KUSAINI 'KIBABU' CHA MIAKA 41 CHELSEA

  KOCHA Jose Mourinho anaweza kumpa Mkataba wa mwaka mmoja mkongwe wa Inter Milan, Javier Zanetti kuichezea Chelsea. 
  Muargentina huyo anayetimiza miaka 41 mwishoni mwa msimu, alikuwa Nahodha wa Inter Milan ambayo ilitwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya chini ya Mourinho mwaka 2010.
  Na inafahamika kocha huyo wa Chelsea yuko tayari kumpa Zanetti ofa fupi na nafasi ya kuingia kwenye benchi la Ufundi akistaafu Stamford Bridge. 

  Maisha yanaanzia umri wa miaka 40: Javier Zanetti anaweza kupewa Mkataba wa kuichezea Chelsea na kocha Jose Mourinho
  All smiles: The Argentine defender has spent two decades at the San Siro
  On the ball: Zanetti in action for Inter
  Tabasamu tupu: Muargentina huyo amepiga kazi San Siro kwa miaka 20, lakini anaweza akapewa ofa ya kwenda kumalizia soka yake Chelsea
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOURINHO ATAKA KUSAINI 'KIBABU' CHA MIAKA 41 CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top