• HABARI MPYA

  Sunday, February 23, 2014

  YANGA SC ILIVYOONYESHA SOKA YA KIWANGO CHA JUU JANA NA KUUWA 7-0 TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Emmanuel Okwi kushoto akimtoka beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0.
  Katikati ya dimba; Mrisho Ngassa jana alikuwa kiungo mchezeshaji na alifanya kazi nzuri sana
  Beki wa Ruvu Shooting, Stefano Mwasyika kulia akijaribu kumdhibiti winga wa Yanga SC, Simon Msuva
  Emannuel Okwi kulia akimkimbiza beki wa Ruvu Shooting
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Said Bahanuzi kulia akimtoka beki wa Ruvu
  Hamisi Kiiza wa Yanga SC kushoto akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting
  Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ruvu
  Hamisi Kiiza akiruka kufumua shuti jana
  Didier Kavumbangu wa Yanga SC kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Ruvu Shooting
  Wanaume waliopiga mtu 7-0 jana Taifa
  Didier Kavumbangu jana alifunga mabao mawili
  Kijana amerudi; Simon Msuva jana alicheza vizuri
  Okwi akizungumza na mashabiki baada ya mechi jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOONYESHA SOKA YA KIWANGO CHA JUU JANA NA KUUWA 7-0 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top