• HABARI MPYA

  Wednesday, February 19, 2014

  MBEYA CITY WAENDA MOMBASA KUIWEKEA KAMBI COASTAL UNION

  Wachezaji wa Mbeya City wakipanda ndege mchana wa leo Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kuelekea Mombasa, Kenya ambako watakaa hadi Jumamosi asubuhi watakapokwenda Tanga na jioni yake kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani..

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY WAENDA MOMBASA KUIWEKEA KAMBI COASTAL UNION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top