• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 28, 2014

  AL AHLY WAKIJIFUA UWANJA WA TAIFA JIONI HII

  Wachezaji wa Al Ahly ya Misri wakifanya mazoezi jioni hii Uwanja wa Taifam Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza kuwania kutinga Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika kesho dhidi ya wenyeji Yanga SC kwenye Uwanja huo.  Huyu anaitwa Amr Gamal, mpachika mabao tegemeo wa timu hiyo hivi sasa

  Aliyenyoosha mguu kushoto ni beki mkongwe Wael Gomaa


  Wael Gomaa kushoto

  Wamekuja na mashabiki hawa


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AL AHLY WAKIJIFUA UWANJA WA TAIFA JIONI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top