• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 24, 2014

  DEMU WA BALOTELLI AANIKA MIKOKO YA HATARI, INAMAANISHA JEURI YA FEDHA

  INAFAHAMIKA namna wanasoka wanavyopenda kumiliki magari mazuri na mshambuliaji wa AC Milan, Mario Balotelli hana tofauti.
  Akiwa amekwishawahi kufichua ndinga yake ya hatari aina Bentley wakati akicheza Manchester City, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amefichua magari zaidi ya bei mbaya tangu amerejea Italia mwaka jana.
  'Demu' wa Balotelli, Fanny Neguesha ameweka kwenye ukurasa wake wa instagram magari ya nguvu wiki iliyopita.
  Mkoko: Mpenzi wa Mario Balotelli, Fanny Neguesha ameshea video ya gari za nyota wa Milan ikiwemo Ferrari yake nyekundu
  Keys to success: Neguesha also displayed the keys to all three of Balotelli's flash vehciles
  Funguo za mafanikio: Neguesha pia ameshea funguo tatu zote za gari za Balotelli
  Undercover: During his time with Manchester City, Balotelli covered his Bentley in camouflage
  Unaikumbuka hii? Wakati akiwa Manchester City, Balotelli alishea gari lake aina ya Bentley 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DEMU WA BALOTELLI AANIKA MIKOKO YA HATARI, INAMAANISHA JEURI YA FEDHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top