• HABARI MPYA

    Monday, February 17, 2014

    WENGER ASEMA GIROUD LAZIMA AADHIBIWE KWA KUINGIZA DEMU KAMBINI ARSENAL

    KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya Olivier Giroud baada ya kuomba radhi kwa kuingiza demu katika hoteli ambayo timu hiyo iliweka kambi.
    Giroud aliyeoa, alikanusha kumuingiza Celia Kay katika hoteli ya Four Seasons mjini Canary Wharf usiku wa kuamkia mechi ambayo Arsenal walishinda mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace Februari 2, mwaka huu. 
    Mshambuliaji huyo, mapema aliomba radhi kwa mkewe, Jennifer na kocha wa Arsenal, baada ya gazeti kuchapisha picha ya tukio lake.
    Wenger alisema: "Ni matatizo ya ndani, lakini sitaki kuyazungumzia hadharani, kwa sababu naheshimu faragha zake,".

    Usiku mnene: Celia Kay akimpiga picha Giroud saa kadhaa kabla ya Arsenal kumenyana na Crystal Palace
    Grovelling: Giroud has taken to Twitter to apologise to his wife over his relations with the model
    Kicheche wa kiume: Giroud ana mke, lakini aliingiza mwanamke ambaye ni mwanamitindo katika kambi ya Arsenal siku moja kabla ya mechi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WENGER ASEMA GIROUD LAZIMA AADHIBIWE KWA KUINGIZA DEMU KAMBINI ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top