LOGARUSIC ALIPOWAVAA MAREFA LEO SOKOINE, ILIKUWA...
Kocha wa Simba SC, Zdravko Logarusic leo aliwavaa marefa wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa nyuma kwa bao 1-0 la penalti dhidi ya Mbeya City na kuwaambia waache kuwapendelea wapinzani wao. Simba SC ilisawazisha bao kipindi cha pili na kupata sare ya 1-1
Tendeni haki; Logarusic akiongea na mmoja wa marefa wa leo
Makocha wote wa Simba SC wakimzonga refa wakati wa mapumziko
0 comments:
Post a Comment