• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 19, 2014

  SAA CHACHE KABLA YA KUIVAA ARSENAL, BAYERN MUNICH WAIPASHIA GUNNERS LOFTUS ROAD JIONI HII

  MABINGWA wa Ulaya, Bayern Munich wamefanya mazoezi yao ya mwisho jioni ya leo kwenye Uwanja wa Loftus Road kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji Arsenal.
  Mabingwa hao watetezi wameruhusiwa kutumia Uwanja huo wa Queens Park Rangers na kocha wa timu hiyo Harry Redknapp na walipata mapokezi mazuri kutoka kwa mashabiki.
  Timu hiyo ya Ujerumani iliing'oa Arsenal mwaka jana katika hatua kama hiyo, lakini kikosi cha Pep Guardiola hakikizubaa Jumatano ya leo kilijifua kwa dakika 40 na kuondoka kwa basi lao.
  Mapokezi: Guardiola akiwa amezungukwa na mashabiki wakati wanaondoka Uwanja wa Loftus Road na kikosi cha Bayern 
  Here we go: Bayern Munich arrive at Loftus Road for their final training session before taking on Arsenal
  Tunakwenda: Bayern Munich waliwasili Loftus Road kwa mazoezi yao ya mwisho kabla ya kumenyana na Arsenal baadaye
  Dutch destroyer: Arjen Robben arrives at Loftus Road as Bayern looks to reach the last eight
  Muuwaji wa Kiholanzi: Arjen Robben akiwasili Loftus Road 
  Pleased to meet you: Goalkeeper Manuel Neur and defender Dante greet the fans at Loftus Road
  Kipa Manuel Neur na beki Dante wakisalimia mashabiki Loftus Road
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAA CHACHE KABLA YA KUIVAA ARSENAL, BAYERN MUNICH WAIPASHIA GUNNERS LOFTUS ROAD JIONI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top