• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 23, 2014

  MECHI ZA MABORESHO TAIFA STARS

  Mashidano haya ni moja ya mikakati ya Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kukuza soka ya Tanzania
  Mechi za mpango wa kuboresha Taifa Stars kati ya mikoa na mikoa wiki hii itakuwa kama ifuatavyo;
  Februari 25 Njombe vs Ruvuma (Uwanja wa Njombe)
  Kinondoni vs Ilala (Uwanja wa Karume)
  Februari 26 Morogoro vs Pwani (Uwanja wa Jamhuri)
  Geita vs Kagera (Uwanja wa Geita)
  Kilimanjaro vs Tanga (Uwanja wa Ushirika)
  Iringa vs Mbeya (Uwanja wa Samora)
  Shinyanga vs Simiyu (Uwanja wa Kambarage)
  Lindi vs Mtwara (Uwanja wa Ilulu)
  Februari 27 Temeke vs Kinondoni (Uwanja wa Karume)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MECHI ZA MABORESHO TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top